welcome to Kabwedox

Karibu kwenye blog ya biashara ndani ya mkoa wa Mbeya na mikoa mingine ya jirani. Sasa unaweza kununua au kuuza bidhaa yoyote kupitia blog hii. Pia unaweza kutangaza huduma au biashara yako katika blog yako ya KabweDox bila gharama yoyote. Haya ni mapinduzi kwako wewe mwana Mbeya. Ni muda wa kuitumia vizuri fursaa hii ili kuondoa usumbufu wa kuzunguka na kutafuta bidhaa. Tumeweka huduma hii ambapo wewe kama mteja utaweza kuchagua bidhaa unayoitaka na bila kulipia tukakulete mpaka hapo ulipo. Kwa wewe muuzaji unaweza ukatuma bidhaa yako kwa kupitia e -mail kabwedox@gmail.com  yetu au kwa njia ya whatsapp kwenye namba 0764235583, sisi tutakutangazia bidhaa yako bure.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment